Kimangbutu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimangbutu ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wamangbutu. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kimangbutu imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimangbutu iko katika kundi la Kisudani cha Kati.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimangbutu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.