Kimalila
Mandhari
Kimalila ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wamalila. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kimalila imehesabiwa kuwa watu 65,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimalila iko katika kundi la M20.
Mfumo wa Sauti (Fonolojia)
[hariri | hariri chanzo]Lugha ya Kimalila ina irabu 7 na konsonanti 35 (lakini lahaja zake zilizoathiriwa na Kinyiha zina irabu 5 tu). Pia, tofauti kati ya irabu fupi na irabu ndefu huleta tofauti za maana.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kimalila kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kimalila Archived 22 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kimalila katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mgq
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Archived 4 Oktoba 2006 at the Wayback Machine.
- http://www.linguistics.berkeley.edu/CBOLD/Docs/TLS.html (tovuti hiyo ina msamiati wa Kimalila)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Walsh, Martin T. 1998. The Malila: preliminary notes on language, history and ethnography. Muswada usiotolewa rasmi.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimalila kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |