Kimalay cha Bacan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimalay ya Bacan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wamalay kwenye visiwa vya Halmahera na Mandioli. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kimalay ya Bacan nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu sita tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay ya Bacan iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay cha Bacan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.