Kimaithili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kimaithili ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Nepal inayozungumzwa na Wamaithili. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimaithili nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu milioni 30. Pia kuna wasemaji 3,890,000 nchini Nepal (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kimaithili iko katika kundi la Kiaryan.

Wikipedia
Wikipedia
Kimaithili ni toleo la Wikipedia, kamusi elezo huru

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimaithili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.