Kiluyana
Mandhari
Kiluyana ni lugha ya Kibantu nchini Zambia inayozungumzwa na Waluyana. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiluyana nchini Zambia imehesabiwa kuwa watu 222,000. Pia kuna wasemaji 32,500 (2000) nchi ya Angola na wengine nchi za Botswana na Namibia. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiluyana iko katika kundi la K40.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kiluyana kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiluyana Ilihifadhiwa 20 Januari 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiluyana katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lyn
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiluyana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |