Kilunda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilunda ni lugha ya Kibantu hasa nchini Zambia inayozungumzwa na Walunda. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kilunda nchini Zambia imehesabiwa kuwa watu 450,000. Pia kuna wasemaji 178,000 nchi ya Angola na wasemaji wachache nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kilunda iko katika kundi la K30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilunda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.