Kilumun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kilumun ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Walumun. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kilumun imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilumun iko katika kundi la Kikordofani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilumun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.