Kiluchazi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiluchazi ni lugha ya Kibantu nchini Angola inayozungumzwa na Waluchazi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiluchazi nchini Angola imehesabiwa kuwa watu 155,000. Pia kuna wasemaji wa Kiluchazi nchi za Namibia na Zambia (54,400 - 1986). Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiluchazi iko katika kundi la K20.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiluchazi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.