Kilopa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilopa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walopa. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kilopa imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilopa iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilopa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.