Kiloko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiloko ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sierra Leone inayozungumzwa na Waloko. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiloko imehesabiwa kuwa watu 138,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiloko kiko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiloko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.