Kilogol

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilogol ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Walogol. Idadi ya wasemaji wa Kilogol imehesabiwa kuwa watu 2600 lakini wengi wameshaanza kusahau lugha yao, yaani Kilogol iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilogol iko katika kundi la Kikordofani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilogol kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.