Kilimo nchini India

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia ya kilimo nchini India inaanzia kwenye Bonde la Indus.

India inashika nafasi ya pili duniani kote katika mazao ya kilimo.

Kufikia 2018, kilimo kiliajiri zaidi ya 50% ya wafanyikazi wa India na kuchangia 17-18% kwenye Pato la Taifa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilimo nchini India kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.