Kilijili
Mandhari
Kilijili ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walijili. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kilijili imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilijili iko katika kundi la Plateau.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilijili kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilijili Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilijili katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/mgi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilijili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |