Kilendu
Mandhari
Kilendu ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Walendu. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kilendu nchini Kongo imehesabiwa kuwa watu 750,000. Pia kuna wasemaji 11,100 nchini Uganda. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilendu iko katika kundi la Kisudani cha Kati.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilendu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilendu Ilihifadhiwa 11 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilendu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/led
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilendu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |