Kilegbo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kilegbo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walegbo. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kilegbo imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilegbo iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilegbo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.