Kileabu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kileabu (Lua error in Module:Unicode_data at line 293: attempt to index local 'data_module' (a boolean value).) alikuwa mwana wa Mfalme Daudi wa Israeli. Mama yake alikuwa Abigaili.

Ametajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale), katika Kitabu cha Pili cha Samueli, sura ya 3, mstari wa 3.


Saint-stub-icon.jpg Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kileabu kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.