Nenda kwa yaliyomo

Abigaili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Abigaili (kwa Kiebrania אביגיל) alikuwa mke wa Mfalme Daudi wa Israeli. Alimzalia mwana aliyeitwa Kileabu.

Ametajwa katika Biblia ya Kiebrania, ambayo ni sehemu ya Biblia ya Kikristo (Agano la Kale), katika Kitabu cha Pili cha Samueli, kwa mfano sura ya 3, mstari wa 3.

Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abigaili kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.