Kilaru
Mandhari
Kilaru ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Walaru. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kilaru imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaru iko katika kundi la Kikainji.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilaru kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilaru Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kilaru katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/lan
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilaru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |