Kilandoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilandoma ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea inayozungumzwa na Walandoma. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kilandoma imehesabiwa kuwa watu 14,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilandoma iko katika kundi la Kiatlantiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilandoma kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.