Kilaghu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kilaghu ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Walaghu kwenye kisiwa cha Santa Isabel. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kilaghu imehesabiwa kuwa wazee watatu tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaghu iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilaghu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.