Kilafofa
Mandhari
Kilafofa ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Walafofa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kilafofa imehesabiwa kuwa watu 600 tu yaani lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilafofa iko katika kundi la Kikordofani.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kilafofa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilafofa Ilihifadhiwa 30 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kilafofa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/laf
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilafofa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |