Kilaalaa
Jump to navigation
Jump to search
Kilaalaa (au Kilehar) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Senegal inayozungumzwa na Walaalaa. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kilaalaa imehesabiwa kuwa watu 12,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilaalaa iko katika kundi la Kiatlantiki.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- lugha ya Kilaalaa kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kilaalaa
- lugha ya Kilaalaa katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/cae
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kilaalaa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |