Kikwerisa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikwerisa ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakwerisa. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikwerisa imehesabiwa kuwa watu 15 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikwerisa iko katika kundi la “Lakes Plain”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwerisa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.