Kikwasio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikwasio ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakwasio. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kikwasio imehesabiwa kuwa watu 9000. Pia kuna wasemaji 8500 nchini Guinea ya Ikweta. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikwasio iko katika kundi la A80.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwasio kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.