Kikwangali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikwangali ni lugha ya Kibantu nchini Namibia na Angola inayozungumzwa na Wakwangali. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikwangali imehesabiwa kuwa watu 73,100 nchini Namibia na watu 10,900 nchini Angola. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikwangali iko katika kundi la K30.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwangali kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.