Kikwama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikwama ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wakwama. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kikwama imehesabiwa kuwa watu 15,000. Pia kuna kijiji kimoja nchini Sudan cha wasemaji wa Kikwama. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikwama iko katika kundi la Kikomuz.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikwama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.