Kikurama

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikurama ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakurama. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikurama imehesabiwa kuwa watu 40,300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikurama iko katika kundi la Kikainji.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikurama kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.