Nenda kwa yaliyomo

Kikukele

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikukele ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakukele. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kikukele imehesabiwa kuwa watu 95,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikukele iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikukele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.