Kikrumen-Tepo
Mandhari
Kikrumen-Tepo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Cote d'Ivoire na Liberia inayozungumzwa na Wakrumen. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikrumen-Tepo nchini Cote d'Ivoire imehesabiwa kuwa watu 28,300. Pia kuna wasemaji 2910 nchini Liberia. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikrumen-Tepo iko katika kundi la Kikru.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kitepo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitepo Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kitepo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ted
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikrumen-Tepo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |