Kikrahn-Mashariki
Mandhari
Kikrahn-Mashariki (pia Kikonobo) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Wakrahn. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikrahn-Mashariki imehesabiwa kuwa watu 53,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikrahn-Mashariki iko katika kundi la Kikru.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikonobo kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikonobo Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikonobo katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kqo
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikrahn-Mashariki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |