Kikrahn-Magharibi
Mandhari
Kikrahn-Magharibi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia na Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Wakrahn. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikrahn-Magharibi nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 53,200. Pia kuna wasemaji 12,200 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikrahn-Magharibi iko katika kundi la Kikru.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikrahn-Magharibi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikrahn-Magharibi Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikrahn-Magharibi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/krw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikrahn-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |