Kikpessi
Mandhari
Kikpessi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo inayozungumzwa na Wakpessi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikpessi ilihesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikpessi iko katika kundi la Kikwa.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Lugha ya Kikpessi kwenye Multitree
- Makala za OLAC kuhusu Kikpessi
- Lugha ya Kikpessi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kef
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikpessi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |