Kikpatili
Kikpatili ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wakpatili. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kikpatili imehesabiwa kuwa watu 4500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikpatili iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]
- lugha ya Kikpatili kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikpatili
- lugha ya Kikpatili katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kym
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikpatili kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |