Kikpati
Mandhari
Kikpati ilikuwa lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria iliyozungumzwa na Wakpati. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kikpati, maana yake lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikpati iko katika kundi la Grassfields linalofanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikpati kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikpati Ilihifadhiwa 17 Aprili 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikpati katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/koc
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikpati kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |