Kikorowai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikorowai ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakorowai. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikorowai imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikorowai iko katika kundi la Kiawyu-Dumut.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikorowai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.