Kikonzo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikonzo ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na [[Wakonzowanaokaa mpakani na Rwanda. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikonzo iko katika kundi la J40.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikonzo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.