Kikonkomba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikonkomba ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana na Togo inayozungumzwa na Wakonkomba. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikonkomba nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 500,000. Pia kuna wasemaji 50,100 nchini Togo. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikonkomba iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikonkomba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.