Kikombai

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikombai ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakombai. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikombai imehesabiwa kuwa watu 4000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikombai iko katika kundi la Kidumut.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikombai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.