Kikoli-Kachi
Mandhari
Kikoli-Kachi ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Pakistan inayozungumzwa na Wakoli. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikoli-Kachi imehesabiwa kuwa watu 400,000 nchini Uhindi na watu 170,000 nchini Pakistan. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikoli-Kachi iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikoli-Kachi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikoli-Kachi Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikoli-Kachi katika Glottolog
- lugha ya Kikoli-Kachi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikoli-Kachi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |