Kikokoda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikokoda ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakokoda. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikokoda imehesabiwa kuwa watu 3700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikokoda iko katika kundi la “South Bird's Head”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikokoda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.