Kiko

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiko au Kifungor ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Sudan inayozungumzwa na Wako. Mwaka wa 1984 idadi ya wasemaji wa Kiko imehesabiwa kuwa watu 2680, maana yake lugha imeanza kusahauliwa na kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiko iko katika kundi la Kikordofani.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.