Nenda kwa yaliyomo

Kiklon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kiklon (au Kikelon) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Waklon. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kiklon imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiklon iko katika kundi la Kialor.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiklon kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.