Kiklao

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiklao

Kiklao ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia na Sierra Leone inayozungumzwa na Waklao. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kiklao nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 213,000, na nchini Sierra Leone watu 9620. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiklao iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiklao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.