Kikisar
Mandhari
Kikisar (pia Kimeher au Kiyotowawa) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakisar kwenye visiwa vya Kisar, Roma na Wetar. Wakisar wengine wamehamia visiwa vya [[Ambon na Timor. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikisar imehesabiwa kuwa watu 20,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikisar iko katika kundi la Kitimor-Babar.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikisar kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikisar Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikisar katika Glottolog
- lugha ya Kikisar kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikisar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |