Kikisankasa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikisankasa ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakisankasa. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikisankasa imehesabiwa kuwa watu 4670. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikisankasa kiko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikisankasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.