Kikirikiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikirikiri ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakirikiri. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kikirikiri imehesabiwa kuwa watu 250. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikirikiri iko katika kundi la “Lakes Plain”.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikirikiri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.