Kikirike
Mandhari
Kikirike ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakirike. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kikirike imehesabiwa kuwa watu 248,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikirike iko katika kundi la Kiijoidi. Wataalamu wengine wanaiangalia kama lahaja ya Kikalabari.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- lugha ya Kikirike kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikirike Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikirike katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/okr
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikirike kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |