Kikim-Mun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikim-Mun ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Vietnam, Uchina na Laos inayozungumzwa na Wayao. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kikim-Mun nchini Vietnam imehesabiwa kuwa watu 170,000. Pia kuna wasemaji 200,000 nchini Uchina (1995) na 4500 nchini Laos (1995). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikim-Mun iko katika kundi la Kimian-Jin.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikim-Mun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.