Kikhowar

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikhowar ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Uhindi na Pakistan inayozungumzwa na Wakhowar. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kikhowar nchini Pakistan imehesabiwa kuwa watu 223,000. Pia kuna wasemaji 19,200 nchini Uhindi (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhowar iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhowar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.