Kikhoekhoe

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kikhoekhoe (au Kinama) ni lugha ya Khoisan nchini Namibia, Afrika Kusini na Botswana inayozungumzwa na Wanama, Wadamara na Wahaiǁom. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikhoekhoe nchini Namibia imehesabiwa kuwa watu 200,000. Pia kuna wasemaji 50,900 nchini Afrika Kusini (2006) na wasemaji 200 tu nchini Botswana (2006). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikhoekhoe kiko katika kundi la Kinama.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhoekhoe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.